Image for Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Kula pamoja Nami - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Sarah Skov, Skov- Lust, Lust(Translated by)Dicentia Denmark A S, S(Translated by)
See all formats and editions

"Lamba-lamba ni chakula cha mwisho. Aliandaa kitindamlo vizuri kwenye sahani, lakini badala ya kumsifu yeye, nikakitelezesha kidole changu cha shahada kwanye ramba-ramba.

Nikamgeukia na kumuangalia usoni, na kukiweka kidole changu mdomoni mwangu.

Nikaufumbua kidogo na kuangalia jinsi macho yake yanavyoitazama ramba-ramba.

Nikaufumba midomo yangu kukizunguka kidole changu na kisha kukinyonya kwa sauti kubwa."Kila usiku baada ya kazi Anne anakuja nyumbani kwenye jumba tupu, lakini hivyo ndivyo anaridhika zaidi.

Anaangalia miondoko ya mpishi kijana mdogo anayevutia katika onyesho halisia alipendalo.

Anajifunza jinsi anavyokanda unga na jinsi anavyopika chakula kwa umakini na uangalifu.

Anawaza ikiwa angeweza kuonyesha kujali kulekule kwake.

Anawaza jinsi vidole vya mwanaume huyo vikiwa ndani ya chupi yake.

Siku moja atakapopata nafasi ya kukutana naye ana kwa ana atafanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake kumtongoza... Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust.

Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.

Read More
Title Unavailable: Withdrawn
Product Details
Saga Egmont International
8726270749 / 9788726270747
Ebook
11/09/2019
Swahili
15 pages